Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, January 2, 2016

RATIBA, WAFUNGAJI NA MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND: WEST HAM vs LIVERPOOL KUFUNGUA MWAKA MPYA 2016

Ligi Kuu England inaanza Mwaka Mpya 2016 kwa Mechi za Jumamosi Januari 2 na Mechi ya kwanza kabisa ni huko Upton Park kati ya West Ham na Liverpool.
Hadi sasa kila Timu kwenye Ligi hiyo imecheza Mechi 19 ambazo ni nusu ya Mechi zao zote na hivyo Mechi za sasa ni kuanza kwa Raundi ya Pili ya Ligi hiyo ambayo Msimu huu imekuwa haitabiriki.
Mbali ya Mechi hiyo ya West Ham ambao wako Nafasi ya 8 na Liverpool ambao ni wa 7 wakipishana kwa Pointi 1 tu, Saa 12 Jioni zitafuata Mechi 6 ambazo Vinara wa Ligi, Arsenal, wakiwa Nyumbani kucheza na Newcastle, Leicester City, wanaofungana kwa Pointi na Arsenal, kuwa Nyumbani kuivaa Bournemouth na pia Man United kuwa kwao Old Trafford kucheza na Swansea City, Timu ambayo imeifunga Man United ya Van Gaal Mechi 3 zilizopita za Ligi, zote kwa Bao 2-1.
Mechi nyingine za Saa 12 ni zile za Norwich v Southampton, Sunderland v Aston Villa na West Brom v Stoke.
Jumamosi Januari 2 itakwisha kwa Mechi ya Watford kuwakaribisha Man City.
Jumapili zipo Mechi mbili kati ya Crystal Palace na Chelsea na kisha Everton kucheza na Tottenham.
LIGI KUU ENGLANDRATIBA
Jumamosi Januari 2

15:45 West Ham v Liverpool
18:00 Arsenal v Newcastle
18:00 Leicester v Bournemouth
18:00 Man United v Swansea
18:00 Norwich v Southampton
18:00 Sunderland v Aston Villa
18:00 West Brom v Stoke
20:30 Watford v Man City

Jumapili Januari 3
16:30 Crystal Palace v Chelsea 

19:00 Everton v Tottenham 

MSIMAMO WAKE ULIVYO KWASASA BAADA YA KUFIKIA NUSU.
Barclays Premier League
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1ArsenalArsenal1912341539
2Leicester CityLeicester City1911621239
3Manchester CityManchester City1911351736
4Tottenham HotspurTottenham Hotspur199821835
5Crystal PalaceCrystal Palace19946731
6Manchester UnitedManchester United19865630
7LiverpoolLiverpool19865030
8West Ham UnitedWest Ham United19784529
9WatfordWatford19856429
10Stoke CityStoke City19856129
11EvertonEverton19685726
12SouthamptonSouthampton19667324
13West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion19658-623
14ChelseaChelsea19559-620
15Norwich CityNorwich City19559-1020
16BournemouthBournemouth19559-1220
17Swansea CitySwansea City19478-819
18Newcastle UnitedNewcastle United194510-1517
19SunderlandSunderland193313-1912
20Aston VillaAston Villa191513-198


WAFUNGAJI WANAOONGOZA MPAKA SASA 'TOP 5' 
Rank Name Club Goals
1 Jamie Vardy Leicester   15
1 Romelu Lukaku     Everton   15
3 Odion Ighalo Watford   14
4 Riyad Mahrez Leicester   13
5 Harry Kane Spurs   11

No comments:

Post a Comment