MISS UNIVERSE AKABIDHIWA BENDERA TAYARI KWA SHINDANO LA DESEMBA 19 MWAKA HUU
Katibu Mtendaji wa
Baraza la Sanaa nchini (BASATA) Ghonche Materego akimkabidhi bendera ya Taifa Mrembo wa Tanzania anayeshikilia taji la
Miss Universe 2012, Winfrida Dominic, kwenye ofisi za Baraza hilo jijini
Dar es Salaam jana. Mrembo huyo anaiwakilisha Tanzania kwenye fainali
za mashindano hayo nchini Marekani yanayotarajiwa kufanyika Desemba 19
mwaka huu.
No comments:
Post a Comment