Maneno aliyoyasema kocha wa Arsenal, Arsene Wenger wikiendi iliyopita kuhusu klabu hiyo kusajiri mchezaji mpya ndani ya siku 10 yamekamilika baada ya kumsajili mchezaji raia wa Misri, Mohamed Elneny kwa kitita cha Pauni Milioni 5, kwa mkataba wa miaka 3 akitokea Basel ya Uswisi na atakuwa akipokea mshahara wa Pauni 60,000 kwa wiki.
Lenzi ya Michezo imekuandalia picha za mwanzoni za mchezaji huyo mara baada ya kusaini mkataba na washika bunduki wa London, Arsenal.
No comments:
Post a Comment