Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, December 12, 2015

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA VPL WEEKEND HII

vplLigi kuu tanzania bara inaendelea leo baada ya kusimama kwa muda kupisha kalenda za mashindano ya FIFA pamoja na CECAFA ambapo wachezaji wa za timu walikwenda kwenye timu zao za taifa kwa ajili ya kuzitumikia.
Baada ya baadhi ya wachezaji kumaliza majumu yao kwenye timu zao za taifa, ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) inaendelea leo kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja vya miji tofauti katika mwendelezo wa kumtafuta bingwa mpya wa ligi hiyo.
Hii ndiyo ratiba kamili ya mechi zote ambazo zitapigwa leo na zile za kesho, unaweza kuchagua uangalie mechi gani hapo kwa kwenda uwanja ambao upo jirani yako au unaweza kushuhudia michezo hiyo kupitia kituo cha television cha Azam TV kupitia channel zake za Azam TWO pamoja na Azam Sports HD.
Desemba 12, 2015
Kagera Sugar vs Ndanda FC (Ali Hassan Mwinyi-Tabora) 12-12-2015
Mbeya City vs Mtibwa Sugar (Sokoine Stadium-Mbeya) 12-12-2015
Azam FC vs Simba SC (National Stadium-Dar es Salaam) 12-12-2015
Majimaji vs Toto Africans (Majimaji Stadium-Ruvuma) 12-12-2015
Mgambo JKT vs Young Africans (Mkwakwani Stadium-Tanga) 12-12-2015
Stand United vs Mwadui FC (Kambarage Stadium-Shinyanga) 12-12-2015
Desemba 13, 2015
JKT Ruvu vs Tanzania Prisons (Uhuru Stadium-Dar es Salaam) 12-12-2015
Coastal Union vs African Sports (Mkwakwani Stadium-Tanga) 12-12-2015