Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, October 3, 2015

STEVEN DAVI, SADIO MANE NA PELLE WA SOUTHAMPTON WACHAFUA HALI YA HEWA DARAJANI BAADA YA KUIFUNGA CHELSEA 3-1 KWAO

Jose Mourinho akichachamaa3-1Mabingwa CHELSEA wakicheza kwao Darajani mbele ya mashabiki 41642, wamefungwa na Southampton bao 3-1. Kipindi cha kwanza kilimalizika 1-1 na kipindi cha pili Sputhampton walifunga bao mbili dakika ya 60 na dakika ya 72. Chelsea bao lao lilifungwa na Willian dakika ya 10 na dakika ya 43 Steven Davi aliisawazishia bao Southampton kwa kufanya 1-1. Sadio Mane dakika ya 60 na lile la Graziano Pellé dakika ya 72 na mtanange kumalizika dakika 90 Southampton wakiibuka kidedea kwa bao 3-1 dhidi ya Mabingwa hao.Pelle akifanya mavitu
3-1Shangwe!Jose akishangaa shangaa leo DarajaniBao!Mane akishangilia bao lake Mane akitupia..1-1Asante Willian!! Akipongezwa na wenzake!1-0Willian akishangilia kwa kupetaMbele ya MashabikiFalcao alipojitupa chini kwenye 18 na kupewa kadi ya njano!Aaaah!
VIKOSI:
Chelsea starting XI
: Begovic, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Fabregas, Willian, Oscar, Hazard, Falcao
Chelsea subs: Zouma, Baba, Pedro, Remy, Matic, Blackman, Loftus-Cheek
Southampton starting XI: Stekelenburg, Cedric Soares, Fonte, van Dijk, Bertrand, Romeu, Wanyama, Mane, Steven Davis, Tadic, Pelle
Saints subs: Kelvin Davis, Yoshida, Long, Rodriguez, Martina, Ward-Prowse, Juanmi 

John Terry karudi leo