Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, October 3, 2015

REAL MADRID WAMZUNGUKA CRISTIANO RONALDO

Cristiano Ronaldo alifunga bao mbili na kufikisha mabao 501 huku akiwa kacheza mechi 308 na kufikisha mabao 324 walipoifunga Malmo bao 2-0. Ronaldo alivunja Rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Raul Gonzalez.

ORODHA YA WAFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE REAL MADRID.
1.Cristiano Ronaldo - Mechi 308, mabao 324
2. Raul Gonzalez - Mechi 741, mabao 323
3. Alfredo Di Stefano - Mechi 396, mabao 307
4. Carlos Santillana - Mechi 645, mabao 289
5. Ferenc Puskás - Mechi 262, mabao 242
6. Hugo Sánchez - Mechi 282, mabao 208
7. Francisco Gento - Mechi 599, mabao 179
8. Pirri - Mechi 561, mabao 171
9. Emilio Butragueño - Mechi 463, Mabao 171
10. Amancio Amaro - Mechi 471, Mabao 155.

No comments:

Post a Comment