Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, October 3, 2015

MICHAEL KROHN-DEHLI NA VICENTE WA SEVILLA WAGAWA KICHAPO KWA BARCELONA

 Sevilla FC waliofunga bao ni Michael Krohn-Dehli dakika ya 52 na lile la Vicente Iborra dakika ya 58 na kufanya bao kuwa 2-0.
Barcelona  walifungiwa bao lao na Neymar dakika ya 74 kwa mkwaju wa penati na mtanange kumalizika Sevilla wakiwa kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya Barcelona.Sevilla wakishangilia bao mbele ya Mashabiki waoIborra alipotupia baoNeymar Suarez akishangaa shangaa baada ya kukosa bao la waziChupuchupu! Suarez afunge bao!

No comments:

Post a Comment