Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, October 3, 2015

ROMELU LUKAKU KUMBE ALIKUWA ANAMTAKA ARSENE WENGER

Mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku amebaini kwamba angependa kucheza chini ya ukufunzi wa kocha wa Arsenal Arsene Wenger.
Lakini kabla ya hatua hiyo angependa kupewa fursa ili kumthibitishia kocha Jose Mourinho, meneja ambaye alimuuza kwa madai kwamba alikuwa mchezaji wa ziada katika kikosi cha Chelsea.
Mshambuliaji huyo alikuwa akijibu maswali kuhusu ni kocha gani angependa kumchezea.
Akizungumza na gazeti la Le Vif nchini Ubelgiji, Romelu Lukaku:''Mourinho ni wa kwanza,{Pep} Guardiola halafu Wenger''.

Lukaku hakupata fursa ya kung'ara katika kilabu ya Chelsea ambapo alihudumia mda wake wa miaka mitatu kwa mkopo katika vilabu vya Wst Brom kabla ya kuelekea Everton kwa uhamisho wa kudumu.

No comments:

Post a Comment