Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, October 23, 2015

EMRE CAN AIOKOA LIVERPOOL KUMALIZA KWA SARE NA RUBIN KAZAN KWENYE EUROPA LEAGUE

Dakika ya 37 Emre Can aliwasawazishia bao Liverpool kwa kufanya 1-1 na mchezo kwenda mapumziko wakiwa sare, Kipindi cha pili pamoja na Timu ya Rubin Kazin kucheza kwa pengo la mchezaji mmoja aliyetolewa  kwa kadi nyekundu, Liverpool hawakuweza kuifunga timu hiyo na hatimaye waliweza kusawazisha tu na mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa nguvu sawa ya bao 1-1.Marko Devic akipongezwa na wenzie baada ya kuwafungulia bao kwa kufanya 1-0 dhidi ya Liverpool.Marko Devic akimnyamazisha Kocha wa Liverpool Klopp
VIKOSI:
Liverpool XI:
Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Can, Allen, Milner, Lallana, Coutinho, Origi
Akiba: Bogdan, Toure, Benteke, Firmino, Lucas, Ibe, Randall
Rubin Kazan XI: Ryzhikov; Kuzmin, Nabiullin, Kverkvelia, Kambolov, Carlos Eduardo, Ozdoev, Karadeniz, Georgiev, Devic, Kanunnikov
Akiba: Lemos, Portnyagin, Haghighi, Bilyaletdinov, Cotugno, Dyadyun, Akhmetov

No comments:

Post a Comment