Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, October 28, 2015

EDEN HAZARD AKOSA PENATI CHELSEA IKITUPWA NJE CAPITAL ONE CUP KWA PENALTI 5-4

Eden Hazard alishindwa kuamini macho yake baada ya kukosa mkwaju wa penati uliopanguliwa na kipa wa Stoke City.Loic Remy akiisaidia Chelsea kusawazisha kwa kufanya 1-1 na mtanange kwenda dakika 1201-0 Jonathan Walters akiifunga Chelsea dakika ya 52 kipindi cha pili, katika dakika za majeruhi Loic Remy ameisawazishia Chelsea bao na kufanya 1-1 na mpira kwendelea katika dakika za ziada 30 kwenye Uwanja wa Britannia Stadium huku Stoke wakiwa pungufu 10 uwanjani baada ya mwenzao Phillip Bardsley kupata kadi nyekundu dakika ya 90.Hali tete!!Diego Costa aumia na kutolewa nje
VIKOSI:
Chelsea starting XI

Begovic, Zouma, Cahill, Terry, Baba, Ramires, Mikel, Willian, Oscar, Hazard, Diego Costa.
Stoke City starting XI

Stoke City starting XI
Butland, Bardsley, Shawcross, Wollscheid, Muniesa, Whelan, Adam, Afellay, Arnautovic, Diouf, Walters.


No comments:

Post a Comment