Ligi
Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa leo Jumatano ya Octoba 28 na Alhamisi ya October 29. Ligi hiyo
inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali ambapo Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam utapigwa mchezo ambao unatajwa kuwa na
presha kwa kocha wa Simba Dylan Kerr ambaye kuna tetesi kuwa uongozi wa
Simba umempa mechi mbili afanye vizuri ili kunusuru kibarua chake.
Hii ni ratiba ya mechi za October 28 na 29.
Ratiba za mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 28 na 29
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara October 27
Wachezaji wanaongoza kwa ufungaji wa mabao
Hii ni ratiba ya mechi za October 28 na 29.
Ratiba za mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 28 na 29
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara October 27
Wachezaji wanaongoza kwa ufungaji wa mabao
No comments:
Post a Comment