![](http://www.aitonline.tv/pix/NewsImages/3662.jpg)
Dzeko alitua Man City Miaka Minne iliyopita kwa Dau la Pauni Milioni 27 kutoka Klabu ya Bundesliga ya Germany, Wolfsburg, na kuichezea City Mechi 187 na kupachika Bao 72.
Lakini katika kipindi chote hicho, Dzeko amekuwa hana namba ya kudumu huko Etihad na mara nyingi amecheza Mechi akitokea Benchi.
No comments:
Post a Comment