Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, August 5, 2015

UHAMISHO: EDIN DZEKO NJIA MOJA AS ROMA


Manchester City imeafikiana na AS Roma Dau la Pauni Milioni 14 kumuuza Straika wao Edin Dzeko.Inaaminika Straika huyo kutoka Bosnia tayari ameshakubaliana Maslahi yake binafsi na Klabu hiyo ya Italy na dili hii itakamilika ndani ya Saa 24 zijazo.
Dzeko alitua Man City Miaka Minne iliyopita kwa Dau la Pauni Milioni 27 kutoka Klabu ya Bundesliga ya Germany, Wolfsburg, na kuichezea City Mechi 187 na kupachika Bao 72.
Lakini katika kipindi chote hicho, Dzeko amekuwa hana namba ya kudumu huko Etihad na mara nyingi amecheza Mechi akitokea Benchi.

No comments:

Post a Comment