Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, June 5, 2015

KLABU YA MAN UNITED BADO IPO JUU KIMAPATO IKIFUATIWA NA CITY, CHELSEA NA ARSENAL

Wakati Ligi Kuu England ikizidi kutajirika kwa kuongeza Mapato yake kwa Asilimia 29 na kufikia Pauni Bilioni 3.3, Manchester United ndiyo inayoongoza kwa kuwa na Mapato ya juu kabisa.
Mahesabu hayo yametolewa na Magwiji wa ushauri wa Kifedha Duniani, Deloitte, ambao wamesema Man United ipo juu kwa kuvuna Pauni Milioni 433.2 kwa Mwaka wa Fedha wa 2013/2014.
Deloitte imesema Klabu zilizopiga hatua kubwa katika kipindi hicho ni Everton, Aston Villa na Chelsea lakini Man United imeendelea kuwa juu.

Deloitte imesema kukua kwa Mapato hayo kumetokana hasa na kuongezeka kwa Mapato yatokanayo na Matangazo ya TV. LIGI KUU ENGLAND
LISTI YA MAPATO 2013/2014:

Man United £433.2m Man City £348.3m
Chelsea £324.4m
Arsenal £300.5m
Liverpool £255.8m
Tottenham £180.5m
Newcastle £129.7m
Everton £120.5m
West Ham £116.5m
Aston Villa £111.2m
Southampton £106.1m
Sunderland £104.4m
Swansea £98.7m
Stoke £98.3m
Norwich £94.4m
Fulham £92.1m
Crystal Palace £90.4m
West Brom £86.8m
Hull £84.5m
Cardiff £83.1m

No comments:

Post a Comment