Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, June 5, 2015

Liverpool kumsajili James Milner

Milner
Liverpool imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza James Milner kutoka kwa kilabu ya Manchester City kwa uhamisho wa bure.
Liverpool tayari imekubali makubaliano ya kibinafsi na mchezaji huyo wa miaka 29 ambaye atajiunga na kilabu hiyo wakati kandarasi yake itakapokamilika katika uwanja wa Etihad tarehe mosi July baada ya kufanyiwa ukaguzi wa kimatibabu.
Milner ameshinda mataji mawili ya ligi ya Uingereza ,kombe la FA pamoja na kombe la ligi wakati wa miaka mitano aliyohudumu katika klabu ya Machester City.
 
James Milner
Ameichezea Uingereza mara 53 na kufunga mabao manane msimu uliopita.
Milner alijiunga na City kutoka Aston Villa mwaka 2010 baada ya kusajiliwa kwa kitita cha pauni milioni 26 na aliyekuwa meneja Roberto Manchini.

No comments:

Post a Comment