Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 27, 2015

OSCAR, GUSTAVO NA NEYMAR WAIPA USHINDI BRAZIL NA KUIFUNGA UFARANSA MABAO 3-1


Kipindi cha pili dakika ya 57 Neymar aliwapa bao la pili Brazil kwa kufanya 2-1 dhidi ya France. Luiz Gustavo aliiongezea bao tena la tatu na kufanya 3-1 dakika 69 kipindi cha pili baada ya kupigwa kona na hatimae Gustavo kutupia kwa kichwa kambani.France walipata bao lao kupitia kwa Raphaël Varane dakika ya 21 nao Brazil walisawazisha bao kupitia kwa  Oscar dakika ya 40 na kwenda mapumziko bao 1-1.

No comments:

Post a Comment