Kocha
Msaidizi wa timu hiyo, Mrage Kabange, alisema vipigo walivyopata kutoka
kwa Mbeya City Bao 1-0 na Azam FC mabao 3-1, vimewashtua na kufanya
waelekeze nguvu zao kuwanoa mabeki ili waweze kuwa imara mbele ya
mastraika wa wapinzani wao.
VIPIGO mara mbili mfululizo katika Ligi Kuu Bara vimewashitua makocha wa Kagera Sugar na kuamua kufanya marekebisho ya haraka katika safu yao ya ulinzi kuelekea mechi dhidi ya Ndanda FC itayochezwa kesho jumamosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Mrage Kabange, alisema vipigo walivyopata kutoka kwa Mbeya City mabao 2-0 na Azam FC mabao 3-1, vimewashtua na kufanya waelekeze nguvu zao kuwanoa mabeki ili waweze kuwa imara mbele ya mastraika wa wapinzani wao.Benchi la Ufundi kwenye moja ya mechi za Kagera katika Uwanja wa CCM Kirumba.
“Safu yetu ya ulinzi iliyumba kidogo katika hizi, hivyo tunaifanyia marekebisho kwa kuipa makali. Ligi inazidi kuwa ngumu tunachokifanya ni kubaini mapungufu na kuyarekebisha kwa haraka, naamini baada ya muda kikosi chetu kitafanya vizuri, kuhakikisha tunarejea kwenye nafasi tatu za juu,” alisema.
MSIMAMO WA LIGI KUU ULIVYO

VODACOM PREMIER LEAGUE
SEASON: 2014-2015
SEASON: 2014-2015
Table
Pos | Team | Pld | W | T | L | Goals | Diff | Pts | ||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | ↑ | Azam | 10 | 6 | 2 | 2 | 14 | 7 | 20 | |
2 | ↓ | Mtibwa Sugar | 9 | 4 | 5 | 0 | 12 | 7 | 17 | |
3 | • | JKT Ruvu | 11 | 5 | 2 | 4 | 11 | 1 | 17 | |
4 | • | Young Africans | 9 | 4 | 3 | 2 | 11 | 4 | 15 | |
5 | • | Polisi Morogoro | 11 | 3 | 6 | 2 | 9 | 1 | 15 | |
6 | • | Kagera Sugar | 11 | 3 | 5 | 3 | 8 | 0 | 14 | |
7 | • | Coastal Union | 10 | 3 | 4 | 3 | 9 | 1 | 13 | |
8 | • | Mgambo JKT | 10 | 4 | 1 | 5 | 5 | -4 | 13 | |
9 | • | Simba | 9 | 2 | 6 | 1 | 9 | 2 | 12 | |
10 | • | Ruvu Shooting | 11 | 3 | 3 | 5 | 5 | -3 | 12 | |
11 | • | Mbeya City | 9 | 3 | 2 | 4 | 4 | -2 | 11 | |
12 | • | Stand United | 11 | 2 | 5 | 4 | 7 | -6 | 11 | |
13 | • | Ndanda | 11 | 3 | 1 | 7 | 10 | -6 | 10 | |
14 | • | Prisons | 10 | 1 | 5 | 4 | 6 | -2 | 8 |
No comments:
Post a Comment