Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, December 9, 2014

RAIS JK AFANYA MAZOEZI MARA TATU KWA SIKU KUIMARISHA AFYA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani. 

Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment