Kocha Tom Saintfiet wa Yanga akizungumza na wachezaji baada ya mazoezi leo asubuhi uwanja wa Loyola |
Wachezaji wa Yanga na kocha wao Tom Saintfiet wakishangilia na mfano wa kombe baada ya kushinda mechi zote walizokuwa wanacheza wachezaji watano watano wakati wa mazoezi uwanja wa Loyola leo asubuhi |
Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo asubuhi uwanja wa Loyola Mabibo jijini Dar es salaam kwa maandalizi ya mechi ya Mtibwa jumatano Jamhuri Morogoro |
No comments:
Post a Comment