![]() |
Mesut Ozil kukosekana uwanjani kwa miezi mitatu |
Kiungo
huyo wa Arsenal alipelekwa katika kipimo cha skani cha MRI baada ya
kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumaani kwa ajili ya mchezo
wa kimataifa akiwa analalamikia maumivu ya mguu.
Imetangazwa
na Ujerumani katika mkutano na waandishi wa habari mchana wa leo kuwa
kiungo huyo huenda akakosekana kwa kipindi cha miezi mitatu.
No comments:
Post a Comment