Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, September 11, 2014

Wasanii Kassim Mganga, Aunty Ezekiel na AJ Ubao kunogesha tamasha la utalii na miaka 4 ya Vijimambo mgeni rasmi Mhe. Lazaro Nyalandu


ezekiel_7-500x333
Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014.
04
Msanii wa Bongo flava Kassim mganga nae kuwepo.
AJ-UBAO-2
AJ Ubao.
vijimamboFront
Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.

No comments:

Post a Comment