Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, September 18, 2014

GERARD PIQUE AIPA USHINDI BARCELONA NA KUIFUNGA APOEL Nicosia BAO 1-0 KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Gerard Piqué akishangilia bao lake kipindi cha kwanza dakika ya 28. bao lililodumu mpaka dakika 90 kumalizika na Barcelona kujichukulia alama 3 muhimu wakiwa nyumbani kwao kwenye mchezo wa Uefa Champions League hatua ya makundi.Lionel Messi akifukuziwa na Bonge la msitu...Dakika ya 28 Gerard Piqué aliifungia bao la kichwa Barcelona na kuitanguliza 1-0 dhidi ya timu ya APOEL Nicosia.

No comments:

Post a Comment