Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, February 18, 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MANCHESTER CITY 0 v FC BARCELONA 2, MESSI NA DANI ALVES WAINYOOSHA CITY ETIHAD

Wenyeji Manchester City wakicheza na  Barcelona katika Uwanja wa Etihad kipindi cha kwanza kilimalizika wakiwa bado 0-0 hakuna aliyeziona nyavu za mwenzake...
Kipindi cha pili dakika ya 54 Messi anaipatia bao timu yake Barcelona kwa mkwaju wa penati baada ya kukwatuliwa chini eneo hatari ndani ya box na mwamuzi J. Eriksson akamtoa kwa kadi nyekundu  mchezaji wa City Martín Demichelis aliyefanya mafyongo kwa kumtega Messi.  Dakika za majeruhi dakika ya 90 Dani Alves akawaongezea bao jingine Barcelona kwa kufanya 2-0 dhidi ya City baada ya kupewa pasi safi na Neymar.

Mchezaji wa Manchester City Aleksandar Kolarov akichuana na Dani Alves wa BarcelonaKipa wa Barca Victor Valdes akionesha kiwango kwenye lango lake na kutowapa upenyo City kufunga!Patashika kwenye lango la Barcelona!Yaya Toure akimyemelea kipa wa Barca V. ValdesBahati yao!!!! Vicent Kompany akisononeka baada ya kukosa bao
Chupu chupu!!Cesc Fabregas akionesha kiwango!
Bosi Emmanuel wa CityMartin Demichelis akimfanyia ndivyo sivyo Messi ndani ya 18Marching orders: Demichelis is shown a red card by referee Jonas ErikssonNenda kapumzike!!!Lionel Messi akipiga penati...........Messi akishangilia baada ya kufunga bao
Wachezaji wa Barca wakipongezanaMessi akishangilia!!!

Dakika za majeruhi Dani akimpiga tobo kipa Joe Hart wa City na kuipatia Barca bao la piliMajanga!! Dakika za lala salama!!
Kapteni wa Liverpool Steven Gerrard nae yumo kiwanjani Etihad kuutazama mpira huu.

No comments:

Post a Comment