Timu ya Paris Saint-Germain inapata bao la mapema dakika ya tatu(3) kupitia mchezaji Blaise Matuidi akipewa krosi safi na Marco Verratti. Bao la pili limefungwa kipindi hicho hicho cha kwanza kwa mkwaju wa penati kupitia mchezaji Zlatan Ibrahimovic katika dakika ya 39. Dakika chache baadae Zlatan Ibrahimovic akaachia shuti kali na kumfunga kipa wa Bayern Leverkusen Akipewa pasi na Blaise Matuidi. Mpaka dakika za kwenda mapumziko Psg ndio walienda kupumzika wakiwa juu ya bao 3-0 dhidi ya wenyeji Bayern Leverkusen. Bao la nne limefungwa dakika ya 88 dakika za lala salama kupitia kwa Yohan Cabaye aliyetokea benchi kipindi cha pili.
Blaise Matuidi wa PSG akishangilia bao lake dhidi ya Bayer Leverkusen usiku, bao la dakika za mapema dakika ya 3.Blaise Matuidi akishangilia bao lake!!!Blaise Matuidi akitupiaWachezaji wa PSG wakishangilia kivyao baada ya kufunga bao la pili kupitia Ibrahimovic
No comments:
Post a Comment