Mzunguko
wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara
unaanza Jumamosi (Januari 26 mwaka huu) kwa mechi tano katika miji ya
Bukoba, Dar es Salaam, Tanga wakati mechi ya Tanzania Prisons na Ruvu
Shooting inahamishiwa uwanja mwingine.
Ashanti United itacheza na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Coastal Union itacheza na Oljoro JKT katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam utakuwa mwenyeji wa mechi kati ya Azam na Mtibwa Sugar.
Jumapili (Januari 26 mwaka huu) kutakuwa na mechi kati ya JKT Ruvu na Mgambo Shooting itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex wakati Simba na Rhino Rangers zitaumana kwenye Uwanja wa Taifa.
Mechi ya Tanzania Prisons na Ruvu Shooting iliyokuwa ichezwe Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine inahamishiwa uwanja mwingine kwa vile huo bado nyazi zake ambazo zimepangwa hivi karibuni hazijawa tayari kuhimili mechi hiyo.
Hivyo Tanzania Prisons inatakiwa kutafuta uwanja mwingine unaokidhi viwango vinavyotakiwa kwa ajili ya mechi hiyo, na nyingine dhidi ya JKT Ruvu itakayochezwa Januari 29 mwaka huu.
Pia matumizi ya tiketi za elektroniki yanaanza katika mzunguko huu kwa vile viwanja nane ambavyo tayari vimefungwa vifaa vya tiketi hizo. Vilevile tunakumbusha washabiki wa mpira wa miguu kuwa tiketi za elektroniki haziuzwi viwanjani.
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
Jumapili, 26 Januari 2014
JKT Ruvu v Mgambo JKT
Simba v Rhino Rangers

NO
|
TEAMS
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
GD
|
PTS
|
1
|
Young Africans |
13
|
8
|
4
|
1
|
31
|
11
|
20
|
28
|
2
|
Azam FC |
13
|
7
|
6
|
0
|
23
|
10
|
13
|
27
|
3
|
Mbeya City |
13
|
7
|
6
|
0
|
20
|
11
|
9
|
27
|
4
|
Simba SC |
13
|
6
|
6
|
1
|
26
|
13
|
13
|
24
|
5
|
Kagera Sugar |
13
|
5
|
5
|
3
|
15
|
10
|
3
|
20
|
6
|
Mtibwa Sugar |
13
|
5
|
5
|
3
|
19
|
17
|
2
|
20
|
7
|
Ruvu Shootings |
13
|
4
|
5
|
4
|
15
|
15
|
0
|
17
|
8
|
Coastal Union |
13
|
3
|
7
|
3
|
10
|
7
|
3
|
16
|
9
|
JKT Ruvu |
13
|
5
|
0
|
8
|
10
|
16
|
-6
|
15
|
10
|
Rhino Rangers |
12
|
2
|
4
|
6
|
9
|
16
|
-7
|
10
|
11
|
JKT Oljoro |
13
|
2
|
4
|
7
|
9
|
19
|
-10
|
10
|
12
|
Ashanti United |
13
|
2
|
4
|
7
|
12
|
24
|
-12
|
10
|
13
|
Tanzania Prisons |
12
|
1
|
5
|
6
|
6
|
16
|
-10
|
8
|
14
|
Mgambo JKT |
13
|
1
|
3
|
9
|
3
|
23
|
-20
|
6
|
RATIBA
RAUNDI YA PILI
25 Januari 2014
Ashanti United v Yanga
Azam FC v Mtibwa Sugar
Coastal Union v JKT Oljoro
Kagera Sugar v Mbeya City
Azam FC v Mtibwa Sugar
Coastal Union v JKT Oljoro
Kagera Sugar v Mbeya City
Jumapili, 26 Januari 2014
JKT Ruvu v Mgambo JKT
Simba v Rhino Rangers
Tanzania Prisons v Ruvu Shootings [Imeahirishwa, Sababu ya Uwanja]
29/01/14
VPL: KAGERA SUGAR Vs MTIBWA SUGAR, Kaitaba
VPL: AZAM FC Vs RHINO, Azam Complex
VPL: PRISONS Vs JKT Ruvu, Sokoine
VPL: RUVU SHOOTING VsMBEYA CITY, Mabatini
VPL: COASTAL UNION Vs YANGA, Mkwakwani
01/02/14
VPL: ASHANTI UTD Vs MGAMBO, Azam Complex
VPL: SIMBA SC Vs JKT OLJORO, U/Taifa
02/02/14
VPL: YANGA SC Vs MBEYA CITY, U/Taifa
VPL: PRISONS Vs COASTAL UNION, Sokoine
VPL: MGAMBO Vs RUVU SHOOTING, Mkwakwani
VPL: AZAM FC Vs KAGERA SUGAR, Azam Complex
05/02/14
VPL: MTIBWA SUGAR Vs SIMBA SC, Jamhuri Moro
VPL: RHINO Vs JKT OLJORO, A.H Mwinyi
VPL: JKT RUVU Vs ASHANTI UTD, Azam Complex
08-09/02/14
CAF champ: YANGA Vs KOMOROZINE (Comoro), U/Taifa
CAF confid: AZAM FC Vs FERROVIANS Da BEIRA (Msumbiji), U/Azam comp
09/02/14
VPL: MGAMBO JKT Vs SIMBA SC, Mkwakwani
VPL: JKT OLJORO Vs KAGERA SUGAR, Sh.Amri Abeid
VPL: RHINO RANGERS Vs COASTAL UNION, A.H.Mwinyi
VPL: MBEYA CITY Vs MTIBWA SUGAR, Sokoine
VPL: JKT RUVU Vs RUVU SHOOTINGS, U/Azam comp
14-16/02/14
CAF champ: KOMOROZINE (Comoro) Vs YANGA
CAF confid: FERROVIANS Da BEIRA (Msumbiji) Vs AZAM FC
15/02/14
VPL: RHINO RANGERS Vs MGAMBO JKT, A.H.Mwinyi
VPL: ASHANTI UNITED Vs KAGERA SUGAR, U/Azam comp
VPL: MTIBWA SUGAR Vs TANZANIA PRISONS, Manungu
VPL: JKT OLJORO Vs JKT RUVU, Sh.Amri Abeid
VPL: MBEYA CITY Vs SIMBA SC, Sokoine
VPL: RUVU SHOOTINGS Vs COASTAL UNION, Mabatini
22/02/14
VPL: RUVU SHOOTINGS VsYANGA, U/Taifa
VPL: KAGERA SUGAR Vs RHINO RANGERS,Kaitaba
VPL: MTIBWA SUGAR Vs ASHANTI UNITED, Manngu
VPL: COASTAL UNION Vs MBEYA CITY, Mkwakwani
VPL: JKT OLJORO Vs MGAMBO JKT, Sh. Amri Abeid
VPL: AZAM FC Vs TANZANIA PRISONS, U/Azam comp
23/02/14
VPL: SIMBA SC Vs JKT RUVU, U/Taifa
26/02/14
VPL: YANGA Vs TANZANIA PRISONS, U/Taifa
VPL: ASHANTI UNITED Vs AZAM FC, U/Azam comp
02/03/14
VPL: SIMBA SC Vs RUVU SHOOTINGS, U/Taifa
VPL: KAGERA SUGAR Vs JKT RUVU, Kaitaba
VPL: MBEYA CITY Vs JKT OLJORO, Sokoine
VPL: ASHANTI UNITED Vs RHINO RANGERS, U/Azam comp
03/03/14
VPL: TANZANIA PRISONS Vs MGAMBO JKT, Sokoine
08/03/14 VPL: MBEYA CITY vs RHINO RANGERS, Sokoine
VPL: RUVU SHOOTINGS vs JKT OLJORO, Mabatini
VPL: TANZANIA PRISONS vs SIMBA SC, Sokoine
15/03/14
VPL: AZAM FC Vs COASTAL UNION, U/Azam comp
VPL: MTIBWA SUGAR Vs YANGA, Jamhuri
19/03/14
VPL: YANGA Vs AZAM FC, U/Taifa

No comments:
Post a Comment