Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, January 3, 2014

RATIBA FA CUP MWAKA MPYA 2014, JUMAMOSI KUANZIA SAA 12:00 JIONI, ARSENAL vs TOTTENHAM, BLACKBURN vs CITY. JUMAPILI - MANCHESTER UNITED vs SWANSEA CITY, DERBY vs CHELSEA, ROVERS vs CITY

Michezo ya raundi ya tatu ya Kombe la zamani kabisa Duniani, FA CUP, zitachezwa Wikiendi hii, Jumamosi na Jumapili, na hii ndio hatua ambayo Klabu za Ligi Kuu England ndio zinaanza Mashindano haya huku BIGI MECHI ni ile Dabi ya London Kaskazini itakayochezwa Jumamosi Uwanjani Emirates kati ya Arsenal na Tottenham.
Mabingwa wa England, Manchester United, Jumapili watakuwa kwao Old Trafford kucheza na Swansea City na Siku hiyo hiyo Chelsea wako Ugenini kuivaa Derby County na Man City wako Ugenini Siku ya Jumamosi kucheza na Blackburn Rovers.
Jumapili, Liverpool watakuwa Anfield kucheza na Mshindi kati ya Oldham.
Awali kulikuwa na Raundi zilizoshirikisha Timu za Madaraja ya chini na hata Timu ambazo hazipo kwenye Ligi rasmi.

Timu ambazo hazimo kwenye Ligi na ambazo zimetinga Raundi ya Tatu ni pamoja na Grimsby Town, Kidderminster Harriers na Macclesfingeld Town.
RATIBA RAUNDI YA TATU
Mapema JUMAMOSI
15:45 Blackburn v Manchester City
Mechi zote zinazofuata ni Saa 18:00
Bournemouth vs Burton
Ipswich vs Preston
Grimsby vs Huddersfield
Brighton vs Reading
Everton vs QPR
Bolton vs Blackpool
Macclesfield vs Sheffield Wednesday
Aston Villa vs Sheffield United
Norwich vs Fulham
Charlton vs Oxford United
Wigan vs MK Dons
Rochdale vs Leeds
Newcastle vs Cardiff
Southampton vs Burnley
Stoke vs Leicester
Doncaster vs Stevenage
Kidderminster vs Peterborough
West Brom vs Crystal Palace
Middlesbrough vs Hull
Southend vs Millwall
Bristol City vsWatford
Liverpool vs Oldham
Yeovil vs Leyton Orient
Barnsley vs Hartlepool au Coventry
2015 Arsenal vs Tottenham
Jumapili Januari 5
1500 Nottingham Forest vs West Ham
1700 Sunderland vs Carlisle
1715 Derby vs Chelsea
1800 Liverpool vs Oldham
1800 Port Vale vs Plymouth
1930 Manchester United vs Swansea

No comments:

Post a Comment