Mabondia Robinson Msimbe kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ayubu Ula wakati wa mpambano wao uliofanyika Kiluvya madukani katika ukumbi wa Shimbikati Ula alishinda kwa point mpambano |
Msanii Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika
ukumbi wa Shimbikati Kiluvya kabla ya mpambano wa masumbwi
uliofanyika katika ukumbi huo jana |
MABONDIA WAKIONESHABA UBABE WAKATI WA MPAMBANO ULIOFANYIKA KILUVYA MADUKANI KATIKA UKUMBI WA SHIMBIKATI
Msanii Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika ukumbi wa Shimbikati Kiluvya maduka mawili kabla ya mpambano wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi huo jana kulia ni mmoja ya nmashabiki wake |
Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake kama anavyoonekana katika picha |
SHABIKI AKIMTUNZA MNERNGUAJI WA KANGA MOJA |
KANGA MOJA WAKIFANYA VITU VYAO |
MASHABIKI WAKIMSHANGILIA BONDIA WAO ALIYESHINDA |
|
MPAMBANO WA MASUMBWI UKIENDELEA
No comments:
Post a Comment