Kipa wa Swansea akiokoa mpira wa frii kiki uliopigwa na Adnan Januzaj Jordi Amat na Danny Welbeck (kulia) wakichuana kuutafuta mpira.....
Huku na huku: Mchezaji wa Manchester United Darren Fletcher (katikati) akibanwa na Leon Britton pamoja Angel RangelMchezaji wa Swansea City Ben Davies (kulia) chini kwenye patashika na Rafael wa United. Valencia ndie alieanza kuipatia bao United muda mfupi baada ya kipindi cha pili kuanzaValencia akishangilia bao lake hapa baada ya kuziona nyavu za Swansea City.
Valencia akishangilia baada ya kuifunga Swansea bao la kwanza Old TraffordValencia katikati akishukuru baada ya kufunga baoMchezaji matata wa Manchester United Danny Welbeck akishangilia bao lake na yeye baada ya kufunga na nakufanya 2-0. Danny Welbeck akipeta Baada ya kukosa nafasi ya wazi kipindi cha kwanza Danny welbeck hapa akishangilia bao lake likiwa ni la pili.Nipe tano ndugu yangu..!! Evra na Carrick wakimpongeza Danny Welbeck.United wakipongezana!Hakuna: Chris Smalling amekosa nafasi ya wazi...hapa!!Kagawa nae kakosa nafasi ya wazi hapa!!Kazi nzuri vijana!
Siku nzuri na mwaka mpya kwa Kocha David Moyes!!! akiwapongeza wachezaji baada ya mechi kumalizika!.
Moyes akiwapungia mashabiki mkono na kuondoka uwanjani akiwa na raha
No comments:
Post a Comment