Messi pamoja na kutokea benchi mapema
hakuweza kuziona nyavu za Madrid leo, Mpira umemalizika 0-0 hakuna
mbabe!! Neymar nae ameingia kipindi cha pili katika dakika ya 67
akichukuwa nafasi ya Alexis Sanchez huku Pedro akipumzishwa dakika ya 82
na nafasi yake ikichukuliwa na Sergi Roberto.
Diego Costa akikabwa na mchezaji wa Barca Gerard PiqueKipindi cha kwanza kinamalizika timu zote zikiwa 0-0 huku Star wa Barcelona Lionel Messi na Neymar wakianzia benchi.
Pamoja na Mchezaji wao Messi aliyetokea benchi kipindi cha pili dakika ya 45 akichukua nafasi ya Andresi Iniesta katika kipindi cha pili hakuweza kutamba na kufunga bao lolote kwenye lango la Atletico Madrid. Sare hii ya kutofungana ya 0-0 inafanya Barca waendelee kuwa na pointi 50 juu kwa utofauti wa mabao na timu ya Atletico Madrid ambao pia wana alama hizo hizo 50 kwa kuishia kugawana pointi moja moja.
Messi aliingia kipindi cha pili mwanzoni
Lionel Messi ralivyokuwa nje kabla ya kuingia uwanjani kucheza na Atletico Madrid waliokuwa kwao
Taswira ya benchi...
Hapa ni 50/50 tuu: Diego Costa na Jordi Alba
LA LIGA: MSIMAMO WA TIMU TATU ZA JUU:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
FC Barcelona |
19 |
16 |
1 |
1 |
53 |
12 |
41 |
50 |
2 |
Atletico Madrid |
19 |
16 |
1 |
1 |
47 |
11 |
36 |
50 |
3 |
Real Madrid CF |
18 |
14 |
2 |
2 |
52 |
21 |
31 |
44 |
RATIBA/MATOKEO
Ijumaa Januari 10
Granada CF 4 Real Valladolid 0
Jumamosi Januari 11
Athletic de Bilbao 6 UD Almeria 1
Celta de Vigo 2 Valencia 1
Atletico de Madrid 0 FC Barcelona 0
Elche CF 1 Sevilla FC 1
Jumapili Januari 12
1400 Getafe CF v Rayo Vallecano
1900 Real Betis v Osasuna
2100 RCD Espanyol v Real Madrid CF
2300 Levante v Malaga CF
Jumatatu Januari 13
2400 Villarreal CF v Real Sociedad
No comments:
Post a Comment