Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, January 7, 2014

LA LIGA: BARCELONA 4 vs ELCHE FC 0, BARCA YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIZABUA ELCHE, ALEXIS AKITUPIA TATU (HAT-TRICK)

Star of the show: Alexis Sanchez scored a hat-trick as Barcelona comfortably beat minnows Elche 3-0
Alexis Sanchez alipigahat-trick na kuiwezesha Barcelona kupanda kileleni jana
Star of the show: Alexis Sanchez scored a hat-trick as Barcelona comfortably beat minnows Elche 3-0
Mabingwa Watetezi wa Spain, Barcelona, Jana wamerejea kileleni mwa La Liga baada kuichapa Elche Bao 4-0 Uwanjani Nou Camp.
Bao za Barcelona, waliocheza bila ya Lionel Messi ambae amerejea Mazoezini baada kuumia lakini walikuwa nae Kipa Victor Valdes aliekuwa nje kitambo kama Messi, zilifungwa na Alexis Sanches, Bao 3, na Pedro Bao moja.
Xavi aliikosesha Bao Barcelona baada ya kukosa Penati.

Easy: Pedro got the second in the rout after rounding the Elche goalkeeper
Pedro nae alimalizia bao la nne kwa kumfunga kwa chenga kipa wa Elche
Shock: Xavi (below) missed a penalty after Cesc Fabregas (above) was fouled in the box
Xavi alikosa mkwaju wa penati baada ya Cesc Fabregas kuangushwa ndani ya box la penati.
Shock: Xavi (below) missed a penalty after Cesc Fabregas (above) was fouled in the box
Xavi akijilaumu baada ya kukosa penati hiyo jana
Deadly duo: The pair were in sensational form all afternoon, running at the defence with pace
Wachezaji wa Barca wakipongezana hapa

Starts with a kiss: Fabregas kisses girlfriend Daniella Semaan before the game
Kabla ya mtanange kuanza Fabregas alimuaga kwa kisi girlfriend wake Daniella Semaan
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:

Jumapili Januari 5
Sevilla FC v Getafe CF 

Barcelona 4 Elche CF 0
Osasuna 1 v RCD Espanyol 0 

Real Sociedad v Athletic de Bilbao
Jumatatu Januari 6
21:00 Real Madrid CF v Celta de Vigo
24:00 Rayo Vallecano v Villarreal CF
Ijumaa Januari 10
23:00 Granada CF v Real Valladolid

No comments:

Post a Comment