Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, December 24, 2013

HUYU NDIYE KATIBU MKUU MPYA TFF,.










Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Jamal Malinzi (wa pili toka kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Vyama wanachama na masuala ya kisheria, Evodius Mtawala nakala ya ilani yake ya uchaguzi wakati akimtambulisha kwa waandishi wa habari leo. Wa pili toka kushoto ni Katibu Mkuu wa TFF Selestin Mwesigwa na wa kwanza kushoto ni Afisa Habari wa  TFF, Bonoface Wambura
Add caption
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Jamal Malinzi (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu wa TFF,  Selestin Mwesigwa nakala ya ilani yake ya uchaguzi wakati akimtambulisha kwa waandishi wa habari leo

No comments:

Post a Comment