Carlton Cole akishangilia bao lake baada ya kuifunga Arsenal na
kutangulia kwa bao 1-0 mbele kipindi cha pili mwanzoni dakika ya 46.
Kipindi cha Pili Arsenal walizinduka na kuweza kurudisha bao na kuongeza bao mbili Theo Walcott akirudisha bao la kusawazisha na kufunga bao jingine huku Lukas Podolski akimalizia mchezo kwa kufunga bao la mwisho na kufanya mtanange kumalizika kwa bao 3-1 dhidi ya wenyeji West Ham United.
West Ham wakishangilia na kumpongeza Cole baada ya kuwapachikia bao
Theo Walcott akishangilia bao lake la kwanza la kusawazisha!!
Wachezaji wa Gunners wakipongezana
kwenye patashika hapa kuutafuta mpira
Oliver Giroud akisindikiza mpira katikati ya mabeki wa West Ham
Fundi akinasa mpira!
Nipishe nipite!
Kilichokuwa bora ni pointi tatu tu leo!!
Hata mwaka jana kuna kipindi walinipiga 3-1 hawa Gunners na leo 3-1!!!! huu mwaka mwingine tena!!! wananisimamisha!
Karibu Kwetu West ham mzee!!!

Kipindi cha Pili Arsenal walizinduka na kuweza kurudisha bao na kuongeza bao mbili Theo Walcott akirudisha bao la kusawazisha na kufunga bao jingine huku Lukas Podolski akimalizia mchezo kwa kufunga bao la mwisho na kufanya mtanange kumalizika kwa bao 3-1 dhidi ya wenyeji West Ham United.

No comments:
Post a Comment