Line up: Bouchra Van Persie, Sam Cooke (Chris Smalling), Helen Evans,
Laura Christ (Alex Buttner), Kaya Hall (Phil Jones), Nicky Pike (Ashley
Young), Daniela Martins (Nani), Misse Beqiri (Anders Lindegaard)Wakati
Manchester United ikionyesha soka bovu katika mchezo ambao walifungwa
mabao 2-1 Jumamosi na West Bromwich Albion,
lakini wake na marafiki wa kike wa wachezaji wa klabu hiyo hawakuwa
katika huzuni mbali ya kutokelezea kiurembo zaidi katika siku ambayo
walikwenda kuzindua mfuko wao maalumu uliotambulika kama 'United
foundation ladies
lunch'.
Among those present were Michael
Carrick's wife Lisa, Robin van Persie's wife Bouchra and The Only Way is
Essex star Georgina Dorsett, who is Tom Cleverley's girlfriend.
Hosted by Eamonn Holmes and Ruth
Langsford, following the sell-out success of last year’s event, the
event saw the girls enjoy live entertainment and the chance to
experience the luxury treatments in the Selfridges beauty village.
|
No comments:
Post a Comment