

Welbeck akifunga bao dakika ya 18 kwenye uwanja wa Donbass Arena usiku huu

Welbeck akipongezwa na Fellaini usiku huu baada ya kufunga bao

Fellaini na wenzake wakimpongeza Welbeck baada ya kufunga bao usiku huu ugenini Ukraine

Jumatano 2 Oktoba 2013
Shakhtar Donetsk 1 v 1 Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen 2 v 1 Real Sociedad de Fútbol
Juventus 2 v 2 Galatasaray A.Ş.
Real Madrid 4 v 0 København
Paris Saint-Germain 3 v 0 SL Benfica
RSC Anderlecht 0 v 3 Olympiacos FC
Manchester City 1 v 3 Bayern München
PFC CSKA Moskva 3 v 2 Viktoria Plzeň
No comments:
Post a Comment