Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, October 1, 2013

ARSENAL YAIFUNGA NAPOLI MABAO 2-0 KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE, OZIL NA GIROUD WAIPATIA USHINDI GUNNERS

Arsenal wameifunga Napoli ndani ya dakika 15 bao mbili  kipindi cha kwanza bao la kwanza likifungwa na Mesut Ozil dakika ya 8 na bao la pili likifungwa na Olivier Giroud dakika ya 15 na kufanya mtanange umalizike kwa kipindi cha kwanza kwa kwenda  mapumziko Arsenal wakiongoza bao 2-0 dhidi ya Napoli. Mesut Ozil akifurahia bao lake la kwanza kwa klabu ya Gunners usiku huu wakicheza na Napoli Mchezaji wa Arsenal Olivier Giroud akifurahia baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Napoli dakika ya 15. Kipa wa Napoli Pepe Reina akiokoa shuti kali golini la Mchezaji wa Arsenal Laurent Koscielny kumbuka Pepe aliondoka Liverpool kwa mkopo.


RATIBA/MATOKEO
Mechi za Makundi-Raundi ya Pili:
Mechi zote Saa 3 Dakika 45 Usiku

Jumanne 1 Oktoba 2013
FC Basel 1893 0 v 1 Schalke 04
FC Steaua Bucureşti 0 v 4 Chelsea
Borussia Dortmund 3 v 0 Olympique de Marseille
Arsenal  2 v 0  Napoli
Football Club Zenit 0 v 0 FK Austria Wien
FC Porto Club 1 v 2 Atlético de Madrid
AFC Ajax 1 v 1 AC Milan
Celtic FC 0 v 1 FC Barcelona



Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Ş.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň

No comments:

Post a Comment