Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, September 28, 2013

ZUMBA ALIPOMCHAPA HAMADUU NYUMBANI KWAO

Bondia Zumba Kukwe kushoto akimtupia ngumi Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika  kwenye ukumbi wa Temeke Mikoroshini ambapo ni nyumbani kwa hamaduu Kukwe alishina kwa K,O ya raundi ya tatu
Refarii Sako Mtlya katikati akimwesabia bonia Hamadu Mwalimu baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Zumba Kukwe kulia Kukwe alishina mchezo huo ka K,O ya raundi ya tatu
Bondia Zumba Kukwe akisagilia ushindi na Kocha wa Mkoa wa Pwani Agostin Uyaga baada ya kwisha mpambano huo
Bondia Mbena Rajabu Kushoto na Kassim Rajabu wakipambana wakati wa mpambano wao wa utangulizi
Matokeo ni Droo
Bondia Saidi Mwalimu kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Zakaria Kibwana wakati wa mchezo wao uliofanyika  katika ukumbi wea super sterio mwalimu alishinda kwa ko, ya raundi ya nne

No comments:

Post a Comment