
Timu
ya KMKM ya Kisiwani Pemba ikifurahia ushindi wake wa Ngao ya Jamii,mara
baara ya kuifunga timu ya Chuoni mabao 5-4 yaliyopatikana kwa mikwaju
ya penati baada ya kumaliza dakika tisini ya mchezo kwa kufunguma bao
1-1.Mchezo huo ulipigwa jana usiku kwenye Uwanja wa Gombani,Pemba ikiwa
ni sehemu ya ufunguzi wa Ligi kuu ya Grand Malt,Zanzibar.

Mgeni
Rasmi katika Mchezo huo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar
na kuwaniwa kwa Ngao ya Jamii,Waziri wa Serikali ya Mapinduzi asiekuwa
na Wizara Maalum,Mh. Haji Faki Shaali (wa pili kushoto) akikabidhi Ngao
ya Jami.

Kikosi cha timu ya KMKM

Kikosi cha timu ya Chuoni FC

Beki wa timu ya Chuoni FC akijaribu kumtoka mchezaji wa KMKM

Habari kwa Hisani ya MUHIDIN MICHUZI at
MICHUZI BLOG
No comments:
Post a Comment