Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, September 28, 2013

MANCHESTER CITY YAONJA KIPIGO TOKA KWA ASTON VILLA CHA 3-2 KWENYE ENGLISH PRIEMIER LEAGUE


ASTON VILLA 3 MANCHESTER CITY 2
Manchester City wameikosa nafasi ya kuongoza Ligi baada ya kufungwa Bao 3-2 na Aston Villa Uwanjani Villa Park.
Yaya Toure ndie aliefunga Bao la kwa kwanza kwa City na Villa kusawazisha kwa Bao la Karim El Ahmadi lakini Edin Dzeko akafunga Bao la pili kwa City.
Aston Villa wakasawazisha kwa frikiki ya Leandro Bacuna na Andreas Weimann kuwafungia Bao la 3 katika Dakika ya 75.
Edin Dzeko akishangilia baada ya kufanya City waongoze 2-1 Taswira ya uwanja wa Aston Villa leo hii wakati wanacheza na CityYaya Toure akikabana na  Leandro Bacuna
Samir Nasri Yaya Toure akipiga mpira mbele ya kipa Brad Guzan Wachezaji wa City wakipongezana baada ya kupata bao la kwanzaMeneja wa City Manuel PellegriniKarim El Ahmadi wa Aston Villa akimfunga kipa wa City Joe Hart Wakipongezana baada ya bao

No comments:

Post a Comment