![]() |
Fernandinho awasili City kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni £34 akitokea Shakhtar |
Amenukuliwa akisema
'Hili ni badiliko, changamoto na nafasi niliyokuwa nikiisubiri kwa muda mrefu, kwani kucheza Premier League katika klabu kama City ni kama ndoto.

Fernandinho akianguka wino mbele ya mtendaji mkuu wa City Ferran Soriano

'Nia yangu ni kushinda mataji yote kwani timu hapa ni nzuri na klabu ni kubwa na ina mashabiki.
Kiuweledi hili ni jambo kubwa

Fernandinho anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na City majira haya ya kiangazi lakini inaaminika kuwa Jesus Navas anafuata punde.
No comments:
Post a Comment