Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, June 5, 2013

KIBANDA ALIVYOPOKELEWA KWA MAJONZI JANA BAADA YA KURUDI TOKA AFRIKA YA KUSINI

 Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, leo mchana. Hapa akiina na kuanza kulia baada ya kuonana na sura za watu wake wa karibu.
 Kibanda akipokelewa na wanahabari mbalimbali uwanjani hapo, hapa akikumbatiwa na Hellen...
 Mama na Mwana nao walikuwepo uwanjani hapo kwa mapokezi, ni Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Khadija Khalili akiwa na mtoto wake Fatma, wakipozi.
 Yes Mama na Mwana wakijumuika na wadau.....
 Hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa New Habari wakiwa na bango lao na maua uwanjani hapo wakati wakisubiri mapokezi hayo.
 Umati wa watu ukisubiri kumpokea.

 Wengi walikuwa na mabango yenye ujumbe wa kumkaribisha nyumbani na kumpa pole kwa kilichomkuta.
 Sehemu ya wapiga picha waliofika katika mapokezi hayo, wakijipanga kusubiri kumpokea.
 Kibanda akihojiwa na wanahabari baada ya kuwasili.
 Umati wa watu wengi wao wakibugujikwa na machozi baada ya kumuona Kibanda.
 Kibanda akihojiwa.....
 Kibanda akikabidhiwa maua......
 Kibanda akikabidhiwa maua na Zuhura Abdulnur...
 Baadhi ya wanandugu wakimpkea na kumkumbatia huku wakitokwa na machozi, ama kwa hakika hakuna aliyejizuia kulia....
 Kibanda alikuwa na wakati mgumu kwani kila mmoja alitamani kumgusa na kumpa mkono.
 Mwani Nyangasa, akimsalimia Kibanda, huku akiondolewa mkono na Kulwa Kaledya.
 Kibanda yakimtoka machozi.....

No comments:

Post a Comment