Bendi ya Mashujaa imeingia kwenye kinyang'anyiro cha KILI MUSIC AWARDS
2013; katika category sita tofauti.
Hivyo basi Mashujaa inakuomba wewe mdau uipigie kura ili iweze kutwaa tuzo katika nafasi zote ambazo wamekuwa nominated.
Nafasi zifuatazo ndizo wanakuomba kwa moyo mkunjufu uwapigie kura
1. BENDI BORA YA MWAKA piga kura yako kwa kutuma sms neno CD3 kwenda 15345
2. WIMBO BORA WA BENDI-RISASI KIDOLE wapigie kura kwa kuandika neno sms neno BK3 kwenda 15345
3. MSANII BORA WA KIUME-BENDI mpigie kura CHARLZ BABA kwa kuandika sms neno AK1
4. MTUNZI BORA-BENDI mpigie kura CHARLZ BABA kwa kuandika sms neno AX1
5. RAPPER BORA BENDI mpigie kura ama SAUTI YA RADI kwa kuandika sms neno BG5 au
6. RAPPER BORA BENDI mpigie kura FERGUSON kwa kuandika sms neno BG1
John Saulo aka Ferguson akitunzwa na mama Sakina siku ya Uzinduzi wa Risasi ni kidole business park |
No comments:
Post a Comment