Frank Lampard ndani ya viunga vya Stamford Bridge akiwa amezungukwa na mipira 203 ikiwa ni alama ya rekodi yake katika sherehe na adidas.
Frank Lampard amesaini tena mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuichezea Chelsea, na kumaliza tetesi kuwa kiungo huyo ataondoka Stamford Bridge majira ya kiangazi.
|
Mkataba mpya wa Lampard umetangzwa na klabu yake ya Chelsea kwa matarajio kuwa atakuwa vizuri zaidi chini ya meneja mtarajiwa Jose Mourinho.
Lampard alikuwa akihusishwa na kutaka kuelekea Los Angeles na Uchina
No comments:
Post a Comment