Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, May 3, 2013

CHELSEA vs FC BASEL 3-1, (Agg 5-2), FAINALI SASA NI BENFICA na CHELSEA MEI 15 !!

CHELSEA wameendeleza kichapo tena kwenye Marudiano ya mechi za Nusu Fainali za EUROPA LEAGUE, Mashindano ya Ngazi ya Pili kwa Klabu Barani Ulaya, yaliyofanyika ljana huko Stanford Bridge (Darajani), wakiwa mbele kwa Bao 2-1, wameikaribisha FC Basel ya Uswisi na kuichabanga mabao 3-1 mabao yaliyofungwa yote kipindi cha pili baada ya kufungwa mapema wao dakika ya 45 bao la Sarah. Kisha Torres kuwaandikia bao la kusawazisha dakika ya 50 na dakika ya 52 Moses akawawasha bao jingine la haraka ndani ya dakika mbili. Mchezaji David Luiz akamalizia la 3 dakika ya 59 na kuongezeka zaidi kwenye Agg na kuwa (5-2) dhidi ya Fc Basel ya Uswisi.
Sasa Washindi Chelsea na Benfica watacheza Fainali hapo Mei 15 huko Jijini Amsterdam, Uholanzi ndani ya Amsterdam Arena.Woodwork: Frank Lampard's first-half effort hits the post as he bids to draw level with Bobby Tambling's goalscoring record Mchezaji  Frank Lampardakichuana na  mchezaji wa FC Basel usiku huu
David LuizDavid Luiz akishangilia usiku huuMobbed: David Luiz is bundled by team-mates
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya ufunga bao
Mashabiki wa  Europa League wakishangilia baada ya Chelsea kufungwa bao.
Mashabiki wakiwasha moto uwanjani Darajani

Mashabiki wakimkubali Torres na hapa wakiwa wameweka mifano ya Mask kama Torres

Kocha wa Queens Park Rangers Harry Redknappnaye alikuwepo kuangalia vipaji

VIKOSI:
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Bertrand, Lampard, Luiz (Ake 81), Ramires (Oscar 66), Hazard (Mata 75), Moses, Torres. Subs not used:Turnbull, Ferreira, Terry, Benayoun.
Booked: Azpilicueta.
Goals: Torres 50, Moses 52, Luiz 59.

Basle: Sommer, Steinhofer, Schar, Sauro, Voser, El-Nenny, Frei (Diaz 62), Die, Salah, Streller (Zoua 75), Stocker (David Degen 62). Subs not used:Vailati, Park, Ajeti, Cabral.
Booked: Geoffroy, Steinhofer, Die.
Goal: Salah 45.
Referee: Jonas Eriksson (Sweden).
Attendance: 39,403.

No comments:

Post a Comment