Mgeni Rasmi Mstahiki Meya wa Ilala, Jerry Silaa akiongea na timu na mashabiki waliofika kwenye bonanza |
Mstahiki Meya Jerry Silaa akigawa jezi na mipira kwa baadhi ya timu zilizoshiriki bonanza |
Diwani wa Kata ya Kipawa Mh. Bonna Kaluwa akigawa jezi na mipira kwa timu zilizoshiriki bonanza la Stakishari Veterans |
Mgeni Rasmi Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa akijiandaa kupiga penalti kuashiria ufunguzi wa bonanza lililofanyika kwenye viwanja vya stakishari kata ya Gongolamboto |
Jerry Silaa, Mstahiki Meya wa Ilala akipongezwa na golikipa baada ya kufunga goli kuashiria uzinduzi wa bonanza |
Mgeni Rasmi Mstahiki Meya aliyevaa miwani akiwa pamoja na viongozi na wachezaji wa Stakishari Veterans FC baada |
No comments:
Post a Comment