Meneja Mipango na Biashara wa Makumbusho ya Taifa, Irene Mvile akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana .Katikati ni Miss Dar Indian Ocean anayemaliza muda wake, Diana Hussein.
Miss Dar Indian Ocean anayemaliza muda wake akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaa wakati wa kuanza kwa mchakato wa shindano la Miss Dar Indian Ocean litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Kulia ni mwandaji wa shindano hilo, Glory Mongella.
Mwandaaji wa shindano la Miss Dar Indian Ocaen, Glory Mongella akizungumza wakati wa kutangaza siku ya shindano hilo,
Warembo watakaoshiriki shindano hilo wakimsikiliza Mwalimu wao , Salum (kulia) kabla ya Mkutano na waandishi wa habari
Warembo wakiwa katika Picha ya pamoja katika Ukumbi wa Nyumbani Lounge.
No comments:
Post a Comment