Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 10, 2013

MASHINDANO YA NGUMI KUANZA MACHI 30, JIJINI DAR ES SALAAM


Chama cha walimu wa mchezo wa ngumi kwa niaba ya wana ndondi, walimu wa mchezo wa ngumi, waamuzi wa mchezo wa ngumi na wapenzi wa ngumi, Tunayo furaha kuwafahamisha kwamba kitaendesha michuano ya ligi sehemu mbalimbali nchini, michuano hiyo itafanyika kila mwisho wa wiki.
Wanamichezo wapatao 200 wanatazamiwa kushiriki michuano hiyo ya kwanza ya aina yake.
Mashindano hayo yatashirikisha mabondia wa viwango vyote wanaoanza na wazoefu ili kuleta msisimuko katika michuano hiyo.
Vilabu vitakavyo shiriki ni kama ifuatavyo
Ngome boxing team,
Kawe junior boxing team
Matumla boxing team
JKT boxing team
Magereza boxing team
Police boxing team
Urafiki boxing team
Sifa boxing team\
Ndame boxing team
Davis corner boxing team
Mavitus boxing team
Azimio boxing team
Kariakoo boxing team
Ashanti boxing team
Muheza boxing team
Tanga boys boxing team
Kinondoni squard boxing team
Ruaha galaxy boxing team
Pwani hit boxing team
Msisiri boxing team
Mabibo boxing team
Kinyogoli foundation boxing team
DDC Keko boxing team
Ngumi jiwe boxing team
Yomba yomba boxing team
Kilimahewa boxing team
Operation Remmy Ngabo stable boxing team.
Jumla ya vilabu 27 vimeandikiwa barua ya kushiriki,ni matumaini yetu mtashirikiana nasi katika kuendeleza na kuimarisha mchezo wa ngumi kupitia vyombo vya habari.

No comments:

Post a Comment