JANA Chelsea wakiwa
kwao Darajani kwenye Barclays Premier League, wameitwanga West Ham Bao 2-0 na
kukamata nafasi ya tatu.
Frank Lampard leo amefunga Bao lake la 200 kwa Chelsea na kuiwezesha kukamata nafasi ya 3 kwenye Ligi baada ya kuitandika West Ham Bao 2-0.
Frank Lampard leo amefunga Bao lake la 200 kwa Chelsea na kuiwezesha kukamata nafasi ya 3 kwenye Ligi baada ya kuitandika West Ham Bao 2-0.

Hazard ndiye aliyepiga Bao la pili baada ya kutoka kulia na kuachia mkwaju uliompita Kipa Jussi Jaaskelainen.
Chelsea wangeweza kupiga Bao nyingi zaidi lakini Demba Ba alikosa nafasi nyingi. Ushindi huu unawapandisha Chelsea nafasi ya tatu wakiwa na Alama 55 chini ya City waliofungwa jana na Everton wenye alama 59 na wakiwazidi Spurs baada ya leo kufungwa na Fulham bao 1-0 na kushuka kushika nafasi ya 4 wakiwa na alama 54, huku nafasi ya tano ikishikwa na Gunners wenye alama 50.

Jack Collison wa West Ham kwenye pata shika na Juan Mata usiku huu.

Demba Ba leo kakosa mabao mengi na hapa akionekana kushoshwa na kutofunga kwake

Hazard akipeta ...ushindi mtamu..

VIKOSI:
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Luiz (Terry, 78), Cahill, Cole,
Ramires, Lampard, Mata (Mikel 85), Moses (Oscar, 70), Hazard, Ba
Subs not used: Turnbull, Ivanovic, Terry, Bertrand, Torres
Goals: Lampard 19, Hazard 50
West Ham: Jaaskelainen, Reid, O'Brien, Collins (Tomkins, 61), Demel, Jarvis, Collison, Diame (Taylor, 46), O'Neil, Carroll, Vaz Te (Cole, 80)
Subs not used: Speigel, McCartney, Pogatetz, Chamakh
Booked: Reid, Demel
Referee: Michael Oliver
Att: 41, 639

No comments:
Post a Comment