Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, February 23, 2013

YANGA YASHIKILIA USUKANI WA LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA KUIFUNGA AZAM BAO 1-0

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao alilofunga Haruna Niyonzima

                               Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza na beki wa Azam, Hamis Mcha

 Mshambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza akiwa na mpira huku beki wa Azam, Hamis Mcha akimzuia wakati wa mchezo wa ligi kuu uliochezwa uwanja wa Taifa
Haruna Niyonzima akishangilia bao kwa staili ya aina yake
 
TIMU ya Yanga leo imeibuka na pointi tatu kwenye mchezo wao dhidi ya Azam FC uliochezwa uwanja wa Taifa.
Yanga ambao walionekana kushambulia sana mwanzoni lakini baada ya dakika 20 walionekana kusimama kana kwamba wanatazama mechi na Azam kuwashambulia lakini umakini wa washambuliaji uliwakosesha mabao ya wazi.
Baada ya kosakosa hizo dakika ya 32 mshambuliaji wa Yanga Hatuna Niyonzima aliwainua mashabiki wa Yanga kwenye viti baada ya kuunganisha pasi ya Jerryson Tegete na kuandika bao la kwanza na la pekee kwa mchezo huo.
 

No comments:

Post a Comment