Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, January 12, 2013

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KWENYE MASHINDANO YA TENESI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI

Wachezaji wa Tanzania wakiwa na makocha wao na kikombe walichotwaa
Mama Inger Njau akipokea zawadi kwa kufanikisha mashindano ya tenesi kwa kipindi cha miaka miwili
Mchezaji Georgina Kaindoah akiwa na wazazi wake ambao wamekuwa wakimsapoti kipindi chote cha mashindano, Georgina alifanikiwa kufika fainali na kushika nafasi nya pili kwa wasichana U-14


Wachezaji Elina Mfinanga na Zuhura Mfinaga wakiwa na Katibu wa Tenesi Tanzania Inger Njau baada ya kuvalishwa medali za dhahabu kwa kushinda mchezo wa wachezaji wawili









Emanuel Mally akicheza mchezo wa fainali uliodumu takribani saa nne lakini alipoteza


No comments:

Post a Comment