Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, January 17, 2013

SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI LAENDESHA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU KANUNI ZA UCHAGUZI

Mtoa mada katika semina iliyo andaliwa na shirikisho la soka nchini TFF ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho hilo Deogratius Lyato akiwakumbusha waandishi wa habari juu ya kanuni za uchaguzi wakati wa semina iliyoandaliwa na TFF jana mada kuu ilikuwa ni uchaguzi huru na uwajibikaji.
Katibu wa TFF Angetile Oseah ambaye pia alikuwa ni mtoa mada upande wa maadili na wajibu wa wanahabari kuelekea uchaguzi mkuu wa TFF unatarajiwa kufanyika tarehe 24/02/2013.

Waandishi wa habari wakifuatilia mada mbalimbali zilizo andaliwa katika semina ya siku moja juu ya haki na wajibu na maadili ya waandishi wa habari kueleka uchaguzi mkuu wa TFF utakao fanyika tarehe 24/02/2013

No comments:

Post a Comment